Imetumwa: July 25th, 2022
Na Yuster Sengo
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga kwa mara ya kwanza imeadhimisha siku ya Mashujaa kwa kufanya Ibada/Dua na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi lililozikwa Mashujaa zaidi ya 3000 &nb...
Imetumwa: July 20th, 2022
Na.Yuster Sengo
Wataalam wa wizara ya Mali asili na utalii wamefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga kwa lengo la kushirikiana na wilaya hiyo na kuhakikisha kuwa Halmashauri ya Ulanga ...
Imetumwa: July 11th, 2022
Na . Yuster Sengo
Mkuu wa shule ya sekondari ya Nawenge iliyopo Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro Bi. Magret Duncan Lwisa ametoa wito kwa Wazazi kuwasimamia wanafunzi ipasavyo na kuwatimizia mahitaji...