• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Ulanga yapongezwa kwa utunzaji wa Misitu

Imetumwa: August 1st, 2022

Na.Yuster Sengo

Halmashauri ya wilaya ya Ulanga imepongezwa kwa juhudi za kuhifadhi misitu kwa kupanda miti ya asili na miti ya kisasa kwani inasaidia katika kuleta mvua ambayo maji yake yanachangia kwa asilimia kubwa kwenye mradi wa  uzalishaji wa umeme wa mwl.Nyerere hydropower

Akizungumza wakati wa kutembelea banda la Halmashauri ya wilaya ya ulanga katika maonesho ya nane nane yanayofanyika katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere ,Mkuu wa Wilaya ya pangani Mh. Ghalib Lamsema kuwa ni vizuri  kuendelea kuhifadhi misitu ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya Nchi

Hata hivyo mkuu wa Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Bw. Juma Kapilima akifafanua wakati wa kukagua banda hilo amesema kuwa Wilaya ya Ulanga imebarikiwa kuwa na miti mingi ya kupanda pamoja na ya asili ambayo kwa pamoja miti hiyo inaleta matokeo mazuri

Aidha ameongeza kuwa Wilaya ya Ulanga inajihusisha na kilimo cha kokoa,Mpunga, Migomba ,Karanga ambapo mazao hayo yanastawi vizuri kutokana na hali ya hewa inayopatikana wilayani humo

‘’Hapa kuna bidhaa mbali mbali kama vile mchele,mahindi ,ndizi,choroko  na kunde,bidhaa zote hizo zinalimwa Wilaya ya Ulanga na zinastawi vizuri sana “Amesema Bw.Kapilima

Akizungumzia bidhaa nyingine Bw. Kapilima amesema kuwa kuna nyungo zinazo tengenezwa Ulanga ambazo zina ubora mkubwa pamoja na vyungu ambavyo vinapatikana Ulanga na vinaukubwa tofauti tofauti

Ikiwa leo ni siku ya kwanza ya Maonesho ya nane nane jumla ya taasisi 18 zimetembelewa na wakuu wa Wilaya ambao ni Mh.Ngollo Malenya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga na Mh.Ghalibu Lingo wa Halmashauri ya Pwani .  

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kazini July 11, 2022
  • Tangazo la Zabuni January 19, 2023
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga March 13, 2023
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Baraza la madiwani wilayani Ulanga limepitisha makisio ya mpango wa bajeti ya jumla ya shilingi 35,218,202,000.00

    February 20, 2023
  • Baraza la madiwani wilayani Ulanga limepitisha makisio ya mpango wa bajeti ya jumla ya shilingi 35,218,202,000.00

    February 20, 2023
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga afurahishwa na Maonesho ya nane nane kanda ya Mashariki

    August 08, 2022
  • Ulanga yawa Kivutio Kwa Kutengeneza Mkaa wa Makaratasi

    August 05, 2022
  • Angalia Zaidi

Video

Ziara ya Waziri wa Nishati Mh.Merdad Kalemani katika kijiji cha Epanko wilayani Ulanga
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.