Imetumwa: August 10th, 2017
Zaidi ya kaya 50 zimejiunga na mfuko wa bima ya afya ya Jamii (CHF) iliyoboreshwa katika uzinduzi wa zoezi la uandikishaji wa kaya kwa kaya uliofanyika katika kata ya Minepa wilayani Ulanga.
...
Imetumwa: August 2nd, 2017
Timu ya jeshi la Magereza yaifunga timu ya Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga goli moja kwa sifuri katika mchezo wa kirafiki uliofanyika hivi karibuni.
Goli h...
Imetumwa: August 2nd, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Ulanga imepongezwa kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Hayo yamebainishwa na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Noel Kazimoto wakati akizungu...