Imetumwa: February 25th, 2020
Na. Michael Lyachema
Mkuu wa wilaya ya ulanga Mh Ngolo Malenya amefunga mafunzo ya jeshi la akiba ambapo mafunzo hayo yalikuwa yakifanyika katika tarafa ya rupilo
Akifunga mafunzo hayo Mh Maleny...
Imetumwa: February 20th, 2020
Na.Yuster Sengo
Benki ya NMB imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni kumi ili kuunga mkono juhudi za rais wa jamhuri y muungano wa tanzania katika kuileta nchi maendeleo kwenye s...
Imetumwa: November 4th, 2019
Na .Yuster Sengo
Afisa tarafa ya vigoi bw Shabani Kiduta ameseama kuwa mheshimiwa rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania anafanya juhudi kubwa za kupambana na kupunguza vifo vya kina mama...