• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga afurahishwa na Maonesho ya nane nane kanda ya Mashariki

Imetumwa: August 8th, 2022

Na.Yuster Sengo

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mh.Edson Solly amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuruhusu maonesho ya nane nane kufanyika kwani inawasidia wananchi kujifunza teknolojia mpya nakupata bidhaa kwa bei nafuu

Akizungumza mara baada ya kutembelea na kujionea bidhaa na Teknolojia mbalimbali zinazopatikana katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mh.Solly amesema kuwa amefurahi kushiriki kwenye maonesho hayo ya nane nane na kujifunza mambo mbalimbali

“kwa kifupi nimefurahi sana kushiriki kwenye maonesho haya kwani yamefana sana na kama unavyoona  watu wamekuwa wengi na inaonekana ni namna gani watu walikuwa na hamu sana haya maonesho

“kwa mwaka huu maonesho haya yameandaliwa kwa muda mfupi sana lakini naona wataalam wamejitahidi kwa uwezo wao ila kwa mwakani naamini Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga tutajipanga vizuri zaidi

Naye katibu wa Mbunge wa Ulanga Thomas Dafa akizungumza kwa niaba ya Mbunge wa Ulanga mh.Salim Alaudin Hasham amesema kuwa maonesho haya imekuwa ni fursa kubwa kwa wajasiliamali  wa Ulanga kutangaza bidhaa zao na kujiinua kiuchumi kwani Ulanga kuna vitu vizuri vyenye ubora

“ Tunawakaribisha wageni kuja kujionea vitu vizuri vinavyopatikana Ulanga ,na ni jambo zuri kushiriki maonesho haya ili kujitangaza maana tukijifungia tu wenyewe watu hawawezi kujua kama Ulanga kunapatikana vitu vizuri kwahiyo ni lazima watu waje kuona hapa ili baadae waje Ulanga kujionea kwa uhalisia”Amesema Dafa

Hata hivyo Dafa amempongeza  Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri,Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na wataalam wa Halmashauri kwa kujipanga vizuri katika maonesho hayo

“kwakweli nimpongeze mkurugenzi,mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na wataalam wote kwa kujipanga vizuri kama ambavyo unaona banda letu linatembelewa na wageni wengi,siyo wa Ulanga tu hadi wan je ya Ulanga wanakuja kuona vitu mbali mbali ambavyo vipo hapa”Ameongeza Dafa

Kwa kumalizia Mh. Solly pamoja na Katibu wa Mbunge Bw.Dafa wamewasihi wakazi wa Ulanga kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa siku ya 23/8/2022 na kuwapa ushirikiano mkubwa makarani waliopewa jukumu la kuhesabu watu na makazi ili serikali iweze kupata idadi kamili ya Wananchi na kupanga bajeti kulingana na Takwimu hizo

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.