Ujenzi na Zimamoto
Halmashauri ya Ulanga ina mtandao wa barabara zenye urefu wa km 632.03.Kati ya hizo km 50 zina hudumiwa na wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS) na km 582.03 zinahudumiwa na Halmashauri kama inavyoonekana hapo chini:-
Barabara za lami.........................................5.
Barabara za changarawe.............................. 40.40
Barabara za vumbi/udongo........................... 524.86
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.