Imetumwa: August 2nd, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Ulanga imepongezwa kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Hayo yamebainishwa na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa Noel Kazimoto wakati akizungu...
Imetumwa: August 1st, 2017
Wakandarasi wanaokuja wilayani Ulanga kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali wahetakiwa kuzingatia sheria ya usalama kwa vibarua wao.
Hayo yamesemwa na Mh. Msalam Mohamed Msalam wakati wa ziara ...
Imetumwa: July 13th, 2017
Viongozi wilayani Ulanga wamepongezwa kwa kuibua na kuhamasisha miradi yenye manufaa kwa wananchi.
Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Tawala Msaidizi Bwana Noel Kazimoto katika ziara ...