Maji:
Maji ni rasilimali muhimu sana kwa maisha ya binadamu. Chanzo kikuu cha maji ni chemchem zitokazo milimaya Nawenge na Ruaha. Chanzo cha Nawenge ni tegemeo kubwa kama chanzo na ni hifadhi ya maji. Pampu ya maji iliyopo ina uwezo wa kusambaza maji katika eneo lenye ukuwa wa kilomita za mraba 1,014 tu. Jumla ya watu 24,500 ambayo ni sawa na 74.7% wanapata maji safi. Asilimia 23.3 iliyobaki, inatumia maji yasiyo safi kutoka visimani na katika mito. Mahitaji halisi ya maji kwa sasa ni kiasi cha mita za ujazo 39,440 kwa siku na huwa yanasambazwa na idara ya maji Ulanga
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.