Imetumwa: October 16th, 2017
Ulanga
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mh. Jacob Kassema amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kuanzisha siku ya familia kwa watumishi wa Halmashauri yake.
Aliyasema hayo wakati wa sher...
Imetumwa: October 3rd, 2017
Wananchi wilayani Ulanga wametakiwa kuwa na desturi ya kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwani sasa sio tamko tena ni sheria inayotambulika.
Kauli hiyo imetolewa leo na Afisa Mazingira...
Imetumwa: October 3rd, 2017
Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya UlangaYusuf Daud Semguruka amefanya ziara ya kustukiza katika mnada wa kijiji cha mbuyuni ili kujionea makusanyo ya ushuru yanavyofanyika.
Akiwa katika ...