• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Ulanga yawa Kivutio Kwa Kutengeneza Mkaa wa Makaratasi

Imetumwa: August 5th, 2022


Na.Yuster Sengo

Bidhaa ya mkaa mbadala inayotengenezwa kwa kutumia makaratai imekuwa kivutio kwa watu wengi wanao tembelea Banda la Ulanga kwenye maonesho ya nane nane yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Mkoani Morogoro

Akizungumza wakati wa maonesho hayo Bw.Jonas Tumsime Jason ambaye ni mtengenezaji wa mkaa mbadala  amesema kuwa kwa kutumia mkaa huo tunatunza mazingira pamoja na misitu yetu ambapo kwa Wilaya ya Ulanga kwa kutunza  misitu tunapata kiasi kikubwa cha mvua kinacho tiririsha maji kwenye mto Kilombero na maji ya mto huo unachangia kiasi kikubwa cha maji katika mradi wa Mwl Nyerere Hydropower

 “Tunafanya kutengeneza mkaa mbadala kwasababu Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga tuna lengo kubwa la kuhifadhi mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa maana kwa kukata miti hivyo tunaweza kusababisha ukame wa mvua na kusababisha kukosa maji katika mto kilombero na hivyo kuzorotesha juhudi ya Serikali katika mradi wa Mwl.Nyerere Hydropower”Amsema Bw.Tumsime

“Mkaa mbadala  huu unatengenezwa kwa makaratasi na siyo miti kama tulivyozoea,kwahiyo hapa unaweza kuona ni jinsi gani Misitu yetu inavyoweza kutunzwa kwa maana miti haitakuwa ikikatwa tena kwaajili ya kuchoma mkaa”Ameongeza  Bw Tumsime

Akizungumzia jinsi ya kutengeneza mkaa huo Bw. Tumsime amesema kuwa ni rahisi sana kutengeneza mkaa huo hata ukiwa nyumbani kwani si lazima kutumia mashine za kisasa kwani unaweza kufinyanga makaratasi hayo kwa kutumia mkono wako na kupata mkaa

Akitaja hatua zinazotakiwa kufatwa kwenye kutengeneza mkaa huo Bw.Tumsime amesema kuwa kitu cha muhimu cha kuwa nacho ni mkaa na maji tu hivyo ni rahisi kutengeneza haka ukiwa nyumbani

“Hatua ya kwanza ni kuchana makaratasi kwa vipande vidogo vidogo na kisha kuviloweka kwa maji  hadi kuwa kama uji kwa muda wa siku nne hadi siku saba baada ya hapo unazifinyanga kama tonge la ugali kisha utaanika kwenye jua kwa siku mbili na kuendelea baada ya kukauka utakuwa tayari kwaajili ya matumizi ya kupikia nyumbani”Amefafanua Bw.Tumsime

“Mkaa mbadala huu unaweza kutumika kupikia vyakula mbali mbali ikiwa ni pamoja na chai ,maharage,ugali,wali nk”Ameongeza Tumsime

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.