Imetumwa: April 9th, 2019
Na Yuster Sengo
Wakazi wa kitongoji cha epanko ,wametakiwa kuacha kusikiliza maneno ya kuzusha kuhusu mradi wa uchimbaji madini ya kinywe unaotarajiwa kuanza kutekelezwa katika kijiji hicho cha epa...
Imetumwa: April 8th, 2019
Na.Yuster Sengo
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ulanga leo tarehe 8/4/2019 imekabidhi vitambulisho 2000 vya ujasiriamali kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga Bw. Jonas Mallosa avisima...
Imetumwa: April 1st, 2019
Na Yuster Sengo
Ikiwa leo ni siku ya kilele cha upandaji miti kitaifa, wilaya ya Ulanga imeadhimisha siku hiyo kwa kupanda miche ya miti zaidi ya 300 katika kijiji cha mbagula wilayani hapa
Akiz...