Imetumwa: April 11th, 2019
Na.Yuster sengo
Mwenyekiti wa tume ya madini nchini Profesa Idris Kikula amesema hakuna mchimbaji yeyote wa madini atakae bainika kutorosha madini na akawa salama ,nakuagiza watumishi wote wa madin...
Imetumwa: April 9th, 2019
Na Yuster Sengo
Wakazi wa kitongoji cha epanko ,wametakiwa kuacha kusikiliza maneno ya kuzusha kuhusu mradi wa uchimbaji madini ya kinywe unaotarajiwa kuanza kutekelezwa katika kijiji hicho cha epa...
Imetumwa: April 8th, 2019
Na.Yuster Sengo
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ulanga leo tarehe 8/4/2019 imekabidhi vitambulisho 2000 vya ujasiriamali kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga Bw. Jonas Mallosa avisima...