Imetumwa: April 16th, 2019
Na Yuster Sengo
Halmashauri ya wilaya ya ulanga mkoani morogoro imetenga shilingi milioni tisini na sita na laki nane kwa ajili ya kuvikopesha vikundi zaidi ya arobaini vya vijana, wanawake na watu...
Imetumwa: April 15th, 2019
Na Yuster Sengo
Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri ya wilaya ya Ulanga Ndg .Jonas Mallosa ametoa agizo kwa maafisa tarafa na maafisa watendaji kuwa ifikapo tarehe 1/5/2019 shule zote za kutwa ambazo...
Imetumwa: April 11th, 2019
Na.Yuster sengo
Mwenyekiti wa tume ya madini nchini Profesa Idris Kikula amesema hakuna mchimbaji yeyote wa madini atakae bainika kutorosha madini na akawa salama ,nakuagiza watumishi wote wa madin...