• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Ujenzi wa kituo cha Afya Lupiro wakamilika

Imetumwa: September 27th, 2018

Ulanga

Na

Fatuma Mtemangani

Kituo cha Afya cha Lupiro wilayani Ulanga kwa sasa kinatarajia kukamilisha ujenzi wa majengo mawili ikiwemo jengo la kuhifadhia maiti pamoja na jengo la akina mama wajawazito na watoto walio chini ya miaka mitano lengo likiwa ni kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto kwa wilaya ya Ulanga.

Akizungumzia ukarabati huo Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri Ndugu Yusuph Semguruka amesema kua ujenzi huo umegharimu kiasi cha shilingi milioni mia nne fedha kutoka tamisemi ili kutoa huduma mbalimbali za afya katika kituo hicho cha afya.

“Ujenzi huo umefanyika kwa kujenga upya majengo hayo na sio kukarabati kutoka wodi ya kujifungulia,sehemu ya akina mama kujisubiria kujifungia,chumba cha kuhifadhia maiti kwa sababu chumba cha  awali tutaweka huduma nyingine,kuweka huduma ya maji safi na salama na kubadilisha mfumo wa umeme hivyo tunajua sekta ya afya nchini ina changamoo nyingi sana hivyo serikali hii ya awamu ya tano imeitazama kwa jicho la tatu sekta hii ya afya kwa kuweka mazingira mazuri ikiwemo kuongeza majengo mapya kwa ajili ya akina mama wajawazito na watotot walio chini ya miaka mitano ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto”.alisema Semuguruka.

Hata hivyo Mkurugenzi ameongeza kua wakazi wa Lupiro wamefurahia kuongezeka kwa majengo hayo kwani utasaidia usalama wa akina mama wajawazito na watoto kwa awali walikuwa wakipata shida sana ya uhaba wa majengo ya kujifungulia kwa kukaa nje huku wakinyeshewa mvua wakatia wa masika na kupigwa na jua wakati wa kiangazi hali ilyokuwa ikipelekea kukemewa na baadhi ya wauguzi.

“Ndugu zangu wakazi wa Lupiro mmepata bahati ya kupata majengo mazuri na makubwa kwa ajili ya kupata huduma hii muhimu ya afya sasa nataka muyatunze majengo haya ili huduma ziendelee kwa sababu mama zetu wanateseka sana na watoto ambao ni nguvu kazi ya Taifa letu wanapoteza maisha mimi nitakuwa nakuja kuyakagua haya majengo na kama haukufuatwa utaratibu wa kuyatunza fursa zingine zikitokea hatutazileta hapa lupiro aswa jamani.”alisema Semguruka.

Halmasahuri ya wilaya ya Ulanga kupitia sekta ya afya imefanikiwa kudumisha bima ya afya CHF iliyoboreshwa zaidi kwa ajili ya wananchi wenye kipato cha chini kwa kuwapatia vifaa tiba,kwa kila zahanati,vituo vya afya pamoja na hospitali ya wilaya na huduma kwa wazee pia zinapatikana bila kikwazo chochote.

Kwa upande wa wakazi wa Lupiro wao walifurahia sana majengo hayo hivyo wamemuomba Mkurugenzi kuwaboreshea na maeneo mengine ikiwemo eneno la mapokezi na chumba cha kuchukulia dawa kwa wagonjwa wan je ili waweze kupata huduma bora na kwa wakati.

Lengo la ujenzi wa kituo cha afya Lupiro ni kuboresha huduma ya afya na kusogeza huduma hiyo karibu na wananchi wake hivyo mpaka kukamilika kwa ujenzi huo umegharimu jumla ya shilingi milioni mia nne kutoka Tamisemi.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.