• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

ofisi ya mkuu wawilaya ya ulanga yakabidhi vitambulisho 2000 vya ujasiramali kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya ulanga ndg .Jonas Mallosa ili aendelee na utaratibu wa kuviuza kwa wajasirimali wadogo

Imetumwa: April 8th, 2019

Na.Yuster Sengo

Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ulanga leo tarehe 8/4/2019  imekabidhi vitambulisho 2000 vya ujasiriamali kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga Bw. Jonas Mallosa avisimamie na kuviuza kwa wafanyabiashara wadogo wadogo kabla ya tarehe 15/04/2019 ambapo ndiyo  mwisho wa zoezi la kusambaza vitambulisho hivyo 

Akizungumza katika kikao kazi cha maafisa tarafa,watendaji wa vijiji,watendaji kata pamoja na wakuu wa idara,katibu tawala wilaya ya Ulanga Bw. Abraham Mwaikwira amesema kuwa zoezi hili la uuzaji wa vitambulisho hivi inatakwa ushirikiano baina ya ofisi ya mkurugenzi na ofisi ya mkuu wa wilaya na siyo kazi ya mtu mmoja tu

Aidha ameongeza kuwa kutokana na kauli ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli kuwa atawawajibisha wakuu wa mikoa na wakuu wa wialaya kama wasipouza na kumaliza vitambulisho na hivyo hivyo ,ofisi y mkuu wa wilaya atawawajibisha watendaji watakao fanya mzaha kwenye uuzaji wa vitambulisho hivyo

“tulimsikia Rais akizungumza kule Mtwara kuwa atawawajibisha wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya atakaozembea kuuza vitambulisholakini kabla ya hapo na sisi tutachukua hatua yakuwajibisha watendaji wazembe”Amesema Mwaikwira

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga Ndg.Jonas Mallosa amewataka watendaji kusimamia na kuuza vitambulisho hivi kwa uwezo wao wote ili kuiwe na sababu yoyote ile ya kuwajibishana

“kesheni mkiuza vitambulisho hivi na niwakumbushe tu nitatafuna kuanzia makatibu tarafa na kushuka chini kama tu hamtazingatia maagizo haya kuhusu vitambulisho “Amesema Mallosa

Hata hivyo amewataka watendaji hao kugawa vitambulisho hivi kwa wajasiriamali wadogo na anae pewa kitambulisho asidaiwe tena kodi nyingine

Vitambulisho hivi,ni kati ya vile vitambulisho 670000 vilivyochapishwa na Rais Magufuli na kugaiwa kwa wajasiriamali wadogowadogo nchi nzima

mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.