Akizungumza na ulanga fm ofisini kwake mwandisi wa maji wa wilaya ya ulanga bwana David Kaijage amekiri kuhusu changamoto hivyo wakazi wa ulanga wajitokeze kwa wingi kuchukua dawa hiyo ili kuepuka na magonjwa ya mlipuko ikiwemo homa ya matumbo{kipindupindu}.
Hata hivyo bwana Kaijage amesema hali ya upatikanaji wa maji wilayani hapa bado imeendelea kusalia kuwa ni asilimia 59 ambapo wananchi wanalazimika kufuata maji hayo kwa umbali mrefu wa mita 400 huku serikali ikiahidi kuzishughulikia changamoto hizo.
Aidha amebainisha changamoto zinazoikumba idara ya maji ni pamoja miundombinu ya maji kuharibika pamoja watumiaji wa maji kulipia kiasi kidogo ambacho akiendani na huduma inayotolewa.
mwisho.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.