• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Madiwani Wafungwa na Magereza

Imetumwa: August 2nd, 2017

Timu ya jeshi la Magereza  yaifunga  timu ya Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga goli  moja kwa sifuri katika mchezo wa kirafiki uliofanyika hivi karibuni.

Goli hilo lilifungwa na Nurdin Mrope  aliyekwamisha wavuni  mpira  baada ya  kazi nzuri iliyosukwa na  Stamili Shaabani mnamo dakika ta 12 katika kipindi cha kwanza.

Timu ya madiwani ilijitahidi kuhakikisha wanarudisha goli hilo lakini washambuliaji wa  madiwani wakiongozwa na Mh.Madunda Mkalimoto walizuiliwa vilivyo na safu ya ulinzi ya timu ya Magereza ambayo ilitumia wachezaji chipukizi.

Kipindi cha pili kilikuwa kigumu zaidi kwa timu ya Madiwani  kwani isingekuwa ni juhudi binafsi za golikipa namba moja wa timu hiyo Mh. Michael Mahiringa aliyeokoa mikwaju kadhaa ya hatari langoni kwake.

Kocha wa timu ya Madiwani  Abdalah Mbumi  alifanya mabadiliko kadhaa kipindi cha pili kwa kuamua kumtoa Mh Novatus Majiji na nafasi yake kuchukuliwa na Mh.Msalam Mohamed Msalam lakini mabadiliko hayo hayakuzaa matunda yeyote.

Msambuliaji tegemezi wa Magereza  Nurdin Mrope ambaye ni mfungaji wa bao la kwanza alioneshwa kadi nyekundu dakika za majeruhi  baada ya kumchezea rafu mbaya  mchezaji wa timu ya Madiwani Hatibu Chitaunga .

Katika mchezo huo  timu ya Magereza imezawadiwa  ungo wa Azam Tv utakaowasaidia wafungwa kuangalia vipindi malimbali ikiwemo vipindi vya michezo ambapo mgeni rasmi wa mchezo huo alikuwa ni mwakilishi wa mkuu wa mkoa Ndugu Noel Kazimoto.

Mechi ya Wahesimiwa madiwani na jeshi la Magereza ulifanyika katika mji wa Mahenge ukiwa ni mchezo wa kudumisha mahusiano kati ya taasis hizi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.