• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA NA WATEDAJI WA KATA NA VIJIJI WAMEPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI WILAYANI ULANGA

Imetumwa: March 1st, 2022

Na. Yuster Sengo

Mafunzo ya mfumo wa anwani za makazi na jinsi  zoezi hilo litakavyo fanyika limekamilika kwa kutoa mafunzo  kwa wenyeviti wa vijiji pamoja na maafisa watendaji kata na vijiji  katika tarafa za vigoi , lupiro ,ruaha na mwaya                                                                                                                                                                                  

Mafunzo hayo  yaliyofanywa katika tarafa hizo lilikua na lengo kubwa la kuwajengea uwezo katika kusimamia zoezila anwani ya makazi na post kodi

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mafunzo hayo ,mratibu wa zoezi hilo bw . Loius Ndumbaro amewataka wajumbe hao kuwa wasikivu katika mafumzo hayo kwani zoezi hilo ni kitaifa  na linatakiwa kufanywa haraka na kwa uhakika ili kufikia lengo lengo lililo wekwa

Aidha ameongeza kuwa zoezi hilo litafanyika kwa kubainisha  majina ya mitaa na barabara kwa kushirikisha wananchi kwani zoezi linahusu watu wote .

Kufanyika kwa zoezi hili kutafanya serikali kuwa na takwimu sahihi ya maeneo yanayoitaji huduma za kijamii kama vile afya  elimu na miundombinu pamoja na urahisishaji upelekaji wa mizigo /vifurushi hadi kwa watu husika kwa kutumia anwani iliyoandikwa kwenye mzigo huo

"kila mtanzania atakuwa na anwani halisi ya makazi yatakayomsaidia kila mtu kupatikana kiurahisi. hivyo zoezi hili litarahisisha kufikiwa na mizigo au bidhaa tunazoagiza badala ya kuzifata katika stendi ya mabasi kwani anwani yako itamfikisha mtu anayekuletea mzigo wako kwa urahisi

Uelimishaji huo umekamilika katika tarafa zote za wilaya ya ulanga , ikiwa tayari mafunzo hayo yameshafanyika kwa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya ulanga ,wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ili kuweza kuwajengea uwezo juu ya zoezi hilo  

Mwisho         

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.