Wilaya ya ulanga imepiga hatua kubwa kwenye maendeleo yake kuanzia nchi ipate uhuru miaka 62 iliyopita katika Nyanja zote za maendeleo
Kauli hiyo imetolea na katibu tawala wilaya ya ulanga Bw Imani Mlyapatali wakati wa bonanza la maadhimisho ya wiki ya kuelekea uhuru wa Tanzania bara wilayani ulanga katika uwanja wa mapinduzi
Mlyapatali amesema kuwa wilaya ya ulanga imekuwa na maendeleo makubwa tofauti na miaka kabla ya uhuru na kusema kuwa serikali imefanya jambo kubwa kwa wananchi wa wilaya ya ulanga baada ya kupata uhuru
Bonanza hilo ni moja kati ya shughuli katika wiki ya maadhimisho ya miaka 62 Uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya shughuli mbalimbali ndani ya wilaya ya ulangaMwisho
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Anwani ya Posta: P.O. BOX 22
Telephone: +2550232626340
Simu: 0763845957
Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz
Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.