• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aitka Halmashauri ya wilya ya Ulanga kuimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato

Imetumwa: June 16th, 2022

Na .Yuster Sengo

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Martin Shigela ameitaka Halmashauri ya Wilaya  ya Ulanga kuendelea kuimarisha mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya halmashauri ikiwa ni pamoja na kuhakikisha watu wote wanaodaiwa na Halmashauri wanalipa madeni yao.

Mhe. Shigela amesema hayo wakati wa kikao cha baraza maalum la hoja  ya mkaguzi mkuu wa serikali  Wilayani Ulanga ambapo kikao hicho  kimehudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa  Mkoa wa Morogoro  ili kujadili Ripoti ya Mkaguzi wa Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 .

Aidha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amewaagiza Wakuu wa Idara mbali mbali Wilayani Ulanga kutoa ushirikiano kwa madiwani na Mbunge wa jimbo la Ulanga pindi wanapotaka ufafanuzi wa changamoto mbali mbali zinazowakabili Wananchi ili kuboresha Maendeleo Wilayani Ulanga.

Kwa upande wake Mbunge wa Wilaya ya Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham amesema kuwa asilimia themanini ya Wananchi wa Wilaya ya Ulanga ni Wakulima hivyo katika kuhakikisha wanaboresha sekta hiyo ya kilimo, Ofisi ya Mbunge ilinunua Matrekta matatu na kuyapeleka kwa Wananchi ambayo yamesaidia kulima Zaidi ya Hekari 700 za Wananchi na Wakulima Wamekua wakilipia asilimia kumi ya gharama za kulimishia mashamba yao.

‘’Wilaya yetu inategemea sana kilimo,ofisi ya mbunge ililiona hilo na kununua trekta tatu ambapo wakulima huwa wanahangia kiasi kidogo sana cha asilimia kumi  ili yaweze kuwasaidia kulimia mashmba yao’’Amesa Mh. Salim

Pamoja na hayo pia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Bi.Saida Mahugu amekiri kuyapokea maagiizo yote yaliyotolewa  na Mkuu wa Mkoa na kuanza kuyafanyia kazi mara moja ikiwa ni pamoja na kuhakikisha  kama kuna mapungufu basi hayatajirudia tena

‘’Ninayapokea maagizo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa na ninaahidi kwa kushirikiana na CMT yangu tutayafanyia kazi maagizo hayo na kuhakikisha hakuna mapungufu mengine yatakayo jitokeza tena ‘’  Amesema Ndg Mahugu

 

mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.