• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mkuu wa mkoa wa Morogoro aipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ulanga kwa kupata hati safi

Imetumwa: June 11th, 2021

Na.Yuster Sengo

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh.Martin Shigella ameipongezaHalmashauri ya wilaya ya Ulanga kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2019-2020

Akizungumza kwenya mkutano maalumu wa baraza la madiwani la  halimashauri ya  wilaya ya ulanga wakati wa kuwakilisha ripoti ya mthibiti na mkaguzi mkuu wa serikali  (cag) kwa mwaka wa fedha  2019/2020 na utekelezaji wa maagizo ya kamati ya bunge na serikali za mitaa  (laac) Mh.Shigella amewapongeza viongozi waliomtangulia kwa kufanikisha halmashauri za mkoa wa Morogoro kupata hati safi

“Hata hivyo nawapongeza viongozi walionitangulia kwenye mkoa huu kwa kufanikisha kupata hati safi kwa halmashauri zote tisa za mkoa huu,ushirikiano wao ndiyo uliosababisha kupatikana kwa hati hizo safi kwa mwaka huu wa fedha”Amesama Mh Shigella

“Kupata hati safi tusibweteke halafu mwakani mkaja kupata changamoto katika hesabu zenu za mwaka na kusababisha kupata hati chafu au yenye mashaka “Ameongeza Mh Shigella

“Kama Halmashauri mnatakiwa kuwa timu moja ,lakini hapa mnaonekana mna ushirikiano na hata baraza lenu linaonekana lipo huru na linaibua hoja za msingi na zinapata majibu”Amesema Shigella

Aidha amewataka waheshimiwa madiwani kuhakikisha hoja hazijitokezi katika miaka inayokuja ili kuweza kukwepa kupata hati chafu au yenye mashaka

“Uongozi wa Halmashauri wekeni mkakati wa jinsi ya kulipa madeni hayo na mpeleke suala hili kwenye kamati ya fedha na mjadili jinsi gani mtalipa au kulipwa madeni hayo

Hata hivyo amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Ulanga Mh.Ngollo Malenya pamoja na timu yake kuweka msisitizo katika suala la madeni yanayodaiwa na halmashauri yalipwe kwa wakati ili kuweza kuongeza mapato ya Halmashauri

“Mpaka kufikia Mei tuna asilimia 59 ya mapato na tuna mwezi mmoja tu umebaki kumaliza mwaka wa fedha wa serikali hivyo tupo chini sana ingawa DC,Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi walinipa sababu ,ila naahidi kuzifanyia kazi sababu hizo ili kila mmoja anayestahili kulipa kodi afanye hivyo na hatimae kupandisha mapato ya Halmashauri”Amesema Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh.Martin Shigella

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mh.Ngollo Malenya amesema kuwa Halmashauri ifanye kazi kwa bidii na hati safi iliyopatikana kwa mwaka huu wa fedha isiwafanye mlewe sifa

“tuendelee kufanya kazi kwa bidii ili tuendelee kupata hati safi hata kwa mwaka mwingine wa fedha “Amesema Mh.Malenya

“Sina shaka na utendaji kazi wenu kwasababu wote bado tunatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo tuendelee kushirikiana na kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi mapana ya wilaya yetu”Ameongeza Mh.Malenya

Naye kaimu katibu tawala mkoa wa Morogoro Bw.Leopard Ngirwa ameishukuru Halmashauri kwa kutulia na kujadili na kufikia muafaka wa Hoja za mkaguzi mkuu wa serikali

Aidha ameongeza kuwa suala hili limefanikiwa kutokana na ushirikiano mzuri kati ya uongozi wa Halmashauri na waheshimiwa madiwani

“Niwaombe madiwani mbebe dhamana ya mnaowawakirisha ,panapotokea kulega lega kwenye mambo ya hapa halmashauri basi msimamie vizuri ili mambo yaende sawa .”Ameongeza Bw.Ngirwa

Hata hivyo mkuu wa MKoa wa Morogoro Mh.Martin Shigella amesema atahakikisha anapita kwenye vijiji vyote vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga  kuhakikisha kero zote zinazowakabili wananchi kwenye maeneo yao zinatatuliwa kwa wakati ili kuwawezesha wananchi hao kujikita katika shughuli za uzalishaji mali

 

mwisho

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.