• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Bonanza la Walimu

Sunday 1st, June 2025
@Uwanja wa Mapinduzi/Mahenge Mjini

Ulanga

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mh. Jacob Kassema amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kuanzisha siku ya familia kwa watumishi wa Halmashauri yake.

Aliyasema hayo wakati wa sherehe za bonanza la walimu lililofanyika Wilayani Ulanga kwa kuwakutanisha walimu wa shule za Sekondari na Msingi na kucheza michezo mbalimbali katika uwanja wa Mapinduzi na ukumbi wa Udeco.

Alifafanua kuwa siku hiyo ina umuhimu sana kwa ajili ya kujenga mahusiano kati ya watoto wa Mkuu wa Idara moja na mwingine na unajenga mshikamano kwa kizazi cha sasa na kijacho na kinyume na hapo ni kujenga kizazi cha watu wasiojuana na kutokuwa na umoja.

Aliongeza kuwa katika bonanza hilo ameona vipaji mbalimbali vya walimu ambavyo vikitumika vizuri vinaweza kutumika katika kuwajenga wanafunzi kisanii na baadae wakajiajili wenyewe na mbali na kuonyesha vipaji  walimu wamepata kujumuika na kusahau shida zinazowakabili na kufanya wajione wenye thamani katika jamii.

Akitaja malengo ya tamasha hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Yusuf Semuguruka amesema walimu wengi wamekuwa wakifanya kazi katika maeneo tofauti hivyo kwa kuwakutanisha katika tamasha hilo kumeleta umoja na afya kutokana na michezo mingi iliyochezwa katika siku hiyo.

Aidha aliongeza kuwa tamasha hilo lilifanyika mahsusi kwa ajili ya kumuenzi  Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa akipenda michezo hivyo kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Wilaya wakaona ni bora kufanya bonanza hilo ili kuwakutanisha walimu hao.

Bonanza la walimu lilifanyika hivi karibuni Wilayani Ulanga na kufana kwa kiasi kikubwa ambapo walimu wengi walihudhuria tamasha hilo kwa kucheza michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba, mpira wa pete, mpira wa miguu, mpira wa wavu, kukimbiza kuku, kukimbia kwenye magunia na kufuatiwa na disco la walimu walioimba nyimbo mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.