• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

taarifa rasmi kwa waheshimiwa madiwani

Imetumwa: November 12th, 2018

Na Yuster Sengo

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya y Ulanga Mh. Furaha Fadhili Lilongeli ,ametoa taarifa rasmi kwa baraza la madiwani kuhusu kujiuzulu kwa aliyekua diwani wa kata ya Msogezi Mh.Menrad Chipeta 

Akisoma taarifa ya kujiuzulu ya diwani huyo, Mh Lilongeli amesma kuwa alipokea barua ya kujiuzulu ya diwani huyo na kwa mujibu wa  taratibu na sheria ni lazima atoe taarifa kwenye kikao cha baraza la madiwani

”Nilipokea barua kutoka kwa aliyekua diwani wa kata ya Msogezi kwa tiketi ya Chadema ,Mh.Menrad Chipeta  akiomba kujiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa akiwa chama cha Chadema anapata tabu sana kuhudumia wananchi wa kata yake”Amesema Lilongeli

Aidha ameongeza kuwa mara baada ya kupokea barua hiyo,nay eye akamuandikia barua kwa katibu mkuu TAMISEMI ili kumjulisha kuwa kuna kata iliyoachwa wazi kutokana na aliyekua diwani wa kata hiyo kujiuzulu wazfa wake huo

“Baada ya kupata barua hiyo na mimi nikaandika barua kwa katibu mkuu ili kumjulisha kuhusu suala la kujiuzulu kwa diwani wa Msogezi na kata hiyo ipo wazi kwa sasa ili utaratibu mwingine ufuatwe:”Amefafanua Mh. Lilongeli

Hata hivyo ameongeza kuwa baada ya kutoa taarifa hiyo kwa katibu mkuu TAMISEMI,kitakachofata ni kazi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ni msimamizi wa uchaguzi kufanya utaratibu unaofuata.                                                                          

Mwisho

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 December 16, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA KAZI YA MKATABA YA AFISA HESABU DARAJA II October 09, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI - 2020 May 29, 2020
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA August 27, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • waziri kalemani ahaidi umeme katika migodi ya Epanko

    February 24, 2021
  • Mahakma wilaya ya Ulanga yahadhimisha wiki ya sheria kwa kutoa elimu kwa wafungwa gereza la Ulanga

    January 28, 2021
  • halmashauri ya wilaya ya Ulanga yajidhatiti katika kuongeza vyanzo vya mapato

    January 26, 2021
  • washtakiwa wanne wa kesi za mauji wafutiwa kesi hizo wilayani ulanga

    December 08, 2020
  • Angalia Zaidi

Video

Ziara ya Waziri wa Nishati Mh.Merdad Kalemani katika kijiji cha Epanko wilayani Ulanga
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.