• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mbunge wa jimbo la Ulanga Mh.Goodluck Mlinga awaasa wananchi kuonyesha Uzalendowa kutumia bidhaa za Ulanga

Imetumwa: August 6th, 2018

ULANGA 


Na Fatuma Mtemangani


Mbunge wa jimbo la Ulanga mh Goodluck Mlinga amezindua kiwanda cha chaki na sabuni kilichopo kata ya Mahenge Mjini Wilayani Ulanga huku akiwataka wanachi kuonyesha uzalenda kwa kutumia bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.

Akizungumza katika hafla hiyo ya  uzinduzi iliyofanyika tarehe 4/8/2018 Mh Mlinga amesema kuwa kiwanda hicho kimetoa ajira kwa wazawa na kukuza uchumi wa familia zao hivyo amewataka wafanyakazi wazawa waliopata fursa ya kazi katika kiwanda hicho kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kukiwezesha kiwanda kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Aidha Mh Mlinga amewataka wananchi wengine na hasa wazawa wenye uwezo wa kuanzisha viwanda mbalimbali wafanye hivyo ili kutoa  fursa ya ajira zaidi kwa wazawa na maendeleo ya jimbo la ulanga kwa ujumla kwani itasaidia kuajiri vijana wengi na pia kuendana na dhana ya Nchi ya Viwanda,kuboresha uchumi na kuleta maendeleo endelevu kwa kufikia uchumi wa kati.

Kama kuna watu wana uwezo wa kujenga viwanda mbalimbali tunaomba mfanye hivyo vijana wetu waweze kupata ajira ili waweze kujikwamua kimaisha na kuepukana na tabia mbaya ikiwemo kukaa vijiweni,kuvuta bangi na kufanya biashara haramu.

Kiwanda hicho kina mashine tatu ndogo za mkononi ambazo hazitumii umeme na zimegharimu shilingi milioni thelathini na tano na pia imeznza kusambaza bidhaa zake katika shule mbalimbali ikwemo za msingi na sekondari na imeajiri wafanyakazi kumi wakiwemo wanawake watano na wanaume watano na kinasaidia shughuli za kijamii kama vile Printer na Computer .

Hata hivyo kiwanda hicho kinatekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi kama kinavyosema kuwa Tanzania ya Viwanda na hata kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mh.dk.John Pombe Magufuli.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 December 16, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA KAZI YA MKATABA YA AFISA HESABU DARAJA II October 09, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI - 2020 May 29, 2020
  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA August 27, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • waziri kalemani ahaidi umeme katika migodi ya Epanko

    February 24, 2021
  • Mahakma wilaya ya Ulanga yahadhimisha wiki ya sheria kwa kutoa elimu kwa wafungwa gereza la Ulanga

    January 28, 2021
  • halmashauri ya wilaya ya Ulanga yajidhatiti katika kuongeza vyanzo vya mapato

    January 26, 2021
  • washtakiwa wanne wa kesi za mauji wafutiwa kesi hizo wilayani ulanga

    December 08, 2020
  • Angalia Zaidi

Video

Ziara ya Waziri wa Nishati Mh.Merdad Kalemani katika kijiji cha Epanko wilayani Ulanga
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.