• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Ziara ya kukagua ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari Wilayani Ulanga

Imetumwa: January 4th, 2018

Ulanga 

na Fatuma Mtemangani

Wilaya ya Ulanga ni miongoni mwa wilaya zilizofanya vizuri kwa matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2017 kwa kushika nafasi ya pili kwa mkoa wa morogoro.

Hayo yamebainishwa na afisa elimu sekondari bw.Menard Lupenza wakati waziara ya mkuu wa wilaya ya Ulanga kukagua ujenzi wa madarasa ya wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Vigoi.

Bw.Lupenza ameongeza kua ili kuwe na ufaulu mzuri wazazi na walezi wanatakiwa  kushirikiana kujenga hostel na kuchangia chakula kwa ajili ya wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kufuata elimu hali inayopelekea wengine kukatisha  ndoto zao kwa ajili ya vishawishi pamoja na kutofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne.

Hata   hivyo kwa wilaya ya Ulanga kuna baadhi ya shule za sekondari zikikabiliwa na changamoto ya vyumba vya madarasa kumi na tano meza pamoja na viti ikiwemo Mbuga Sekondari , Ilonga Sekondari,Ulanga Sekondari,Mahenge Sekondari pamoja na Vigoi Sekondari.

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga nduguYusuf Semuguruka ametoa wito kwa viongozi wa kata na vijiji kutowachangisha wazazi juu ya ujenzi wa shule hizo kwani kwa kufanya hivyo ni kukiuka tamko alilotamka mh.Raiswa Jamhuri ya muungano wa Tanzania dk.John Pombe Mgufuli kuwa elimu ni bure.

Aidha mkurugenzi Semuguruka amewataka viongozi wa kata, vijiji na vitongoji kuacha siasa na badala yake wafanye kazi kwa kushirikiana na wananchi kwa kuchangia shilingi elfu tano kwa kila nguvu kazi kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa madarasa hayo ifikapo tarehe 8/1/2018 ili wanafunzi wa kidato cha kwanza waweze kusoma kwani maendeleo sio ya chama bali ni ya watanzania wenyewe.

                                   

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.