• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

wazazi watakiwa kutoa ushirikiano

Imetumwa: July 11th, 2022

Na . Yuster Sengo

Mkuu wa shule ya sekondari ya Nawenge iliyopo Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro Bi. Magret Duncan Lwisa ametoa wito kwa Wazazi kuwasimamia wanafunzi ipasavyo na kuwatimizia mahitaji yao ili waweze kufikia malengo yao  kielimu.

Akizungumza shuleni hapo mkuu huyo wa shule amesema kuwa ili kufanikisha malengo ya wanafunzi ni wajibu kwa wazazi kuwasimami vizuri  watoto wao kwa kushirikiana na walimu ili kuhakikisha wanafunzi hao wanapewa uangalizi pindi wawapo shuleni na hata majumbani.

“Jukumu la kuwasimamia watoto ni la wote ,walimu wanawasimamia wanpo kuwa shuleni na wanapokuwa nyumbani jukumu hilo linakuwa la wazazi/walezi ,hivyo tunapaswa kulifanya hilo kwa uhakika ili kuwasaidia watoto wetu kwenye suala zima la elimu”Amesema Mkuu wa shule

Pia Bi. Magret ameongeza kuwa kwenye  shule ya Sekondari Nawenge ipo mikakati kadhaa ya kuhakikisha wanafunzi wanafaulu kama ulivyo mpango wa shule ambapo katika kulifanikisha hilo Walimu wamekuwa wakiwafuatilia kwa ukaribu wanafunzi hao ili kujua changamoto zao na kuzitatua.

Kwa upande wake Mwalimu wa Taaluma shuleni hapo Bw. Festo Kawamala amewashukuru walimu wote shuleni hapo kwa kuendelea kushirikiana na ofisi ya Taaluma na kujituma katika kazi yao ili kufanikisha shule hiyo kuendelea kupata matokeo mazuri.

Aidha Mkuu wa shule hiyo ameiomba serikali kuongeza idadi ya Walimu shuleni hapo ili kuwapunguzia mzigo walimu waliopo kwani kutokana na uchache wao wamekua wakifanya kazi kubwa ili kufikia malengo ya shule.

Kwa upande wa matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka huu Shule ya Sekondari Nawenge imefaulisha Wanafunzi wote kwa madaraja tofauti ambapo idadi ya Wanafunzi waliopata daraja la kwanza ni 44, daraja la pili ni wanafunzi 80, daraja la tatu ni wanafunzi 5 na hakuna Wanafunzi waliopata daraja la nne na sifuri.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.