• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Wanafunzi wa kidato cha pili na nne waaswa kuongeza ufaulu katika mitihani yao

Imetumwa: August 30th, 2018

ULANGA

 

NA FATUMA MTEMANGANI

Wanafunzi wa kidato cha pili na kidato cha nne shule ya sekondari ya Nawenge wilayani Ulanga mkoani Morogoro wamehimizwa kusoma kwa bidii,maarifa na kuongeza juhudi ili kuendeleza rekodi ya ufaulu katika mitihani ya taifa.

Akizungumza na wanafunzi na walimu wa shule ya Nawenge sekondari afisa elimu sekondari ndugu Menard Lupenza amesema kua serikali imefanya jitihada ya kuboresha upande wa elimu kwa kuwapatia posho walimu wakuu na maafisa elimu kata ili waweze kufanya kazi bila kikwazo chochote.

Hata hivyo amesema kua kupitia mpango wa Elimu bila malipo kwa wilaya ya Ulanga shule ishirini na tisa zimepokea fedha za kujikimu na utaratibu wa matumizi unafanyika vizuri kwa kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na serikali na hakuna changamoto yeyote katika shule hizo.

“Wanafunzi msome kwa bidii na kuwa na nidhamu ili baadae wawe madaktari,marubani waandishi wa habarin walimu wazuri na waweze kutimiza ndoto zenu kama mtasoma kwa bidii na kufuata sheria na taratibu za shule pia kuelewa kile unachofundishwa na walumu”.aAlisema Lupenza.

Kwa upande wake mkuu wa shule ya sekondari Nawenge bi.setina Ngairo amewaahidi kuendeleza utaratibu wa kufanya vizuri katika mitihani hiyo na kusema kua hawata iangusha Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga hivyo atahakikisha walimu wanafundisha kwa bidii ili kupata matokeo mazuri.

Aidha mwenyekiti wa Halmashauri mheshimiwa Furaha Lilongeli amewataka viongozi kuwafikia wananchi kwa kuhamasisha wazazi na walezi kutoa ushirikiano kwenye shule husika ili wazazi hao waweze kuchangia nguvu kazi katika shule hizo hasa katika ujenzi wa vyumba vya madarasa,maabara,pamoja na nyumba za walimu kwa kuchangia matofali na kusomba mchanga ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati kwani viongozi ni chachu ya maendeleo katika kata,kijiji na kitongoji.

“Kwanza nawapongeza sana walimu,wanafunzi wote waliofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na sita pamoja na wazazi kwa kutoa ushirikiano wao kwa walimu,pia mliobaki msome kwa bidii kwani Halmashauri itaendelea kuwaboreshea mazingira mazuri ya kusomea na kujifunzia kwa kumalizia majengo ya maabara.”Alisema mh.Lilongeli.

Kambi ya kitaaluma ya shule ya sekondari Nawenge ina jumuisha  wanafunzi sitini wa kidato cha pili na nne kati ya hao wakiwemo wavulana arobaini na wasichana ishirini ili kujiandaa na mtihani wa Taifa ambapo unatarajia kufanyika hivi karibuni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.