• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

vinara watakiwa kuacha kutumia mabavu wakati wa kutoa huduma kwa wananchi

Imetumwa: August 19th, 2019

Na Yuster Sengo

Mkuu wa wilaya ya Ulanga Mh Ngollo Malenya amewataka vinara wanaofanya kazi za uelimishaji vijijini chini ya chama cha wanasheria wanawake  TAWLA ,kufanya kazi kwa uadilifu na kuacha kuwa miungu watu na badala yake wawahudimie wanannchi kwa uadilifu na uaminifu

Akizungumza katika zoezi la ugawaji wa baiskeli kwa vinara hao kwaajili ya kufanyia shughuli za uelimisheji ,Mkuu wa wilaya amewataka vinara hao kufanya kazi kwa uadilifu na uaminifu ili kutekeleza majukumu yao kwa uhakika

“Mimi ninawaomba nyie mliopewa dhamana mfanye kazi kwa uadilifu ,mkifanya kazi kwa mabavu nitazungumza na mkurugenzi na mwanasheria ili tuone utaratibu wa kuwaondoa katika nafasi hizo”Amesema mkuu wa wilaya Mh .Ngollo Malenya

Aidha mkuu wa program wa chama cha wanasheria wanawake (TAWLA) Mary Richard amewataka vinara  hao kuendelea kushirikiana kwa ukaribu na halmashauri pamoja waratibu wa mradi ili kuleta matokeo chanya kwenye elimu ya sheria kuhusu umilikiji ardhi na masuala mengine ya kijamii

Hata hivyo amewataka vinara hao kutunza baskeli wanazopatiwa kwaajili ya usafiri wakati wa kwenda kutoa elimu vijijini  

‘Hii ni awamu ya pili ya mradi wetu,nakumbuka katika awamu ya kwanza tuliomba baiskeli ili zitusaidie katika suala la usafiri kwani kwa jografia ya eneo letu kuna sehemu nyingine magari wala pikipiki haziwezi kufika hivyo sasa leo tunawakabidhi baiskeli hizo na tunaomba zikatumike kwa makusidio yaliyo kusudiwa “Amesema Mkuu wa program Bi.Mary Richard

Baadhi ya vinara waliohudhuria zoezi hilo wameshukuru chama cha wanasheria wanawake (TAWLA)kwa kuwapa baiskeli hizo na kuahidi kutumia kama ilivyokusudiwa

“Tunashukuru sana kwa TAWLA kututupati usafiri huu na tunaahidi kuzitunza na kwa suala la kuwa mungu watu alilolizungumzia mkuu wa wilaya ,tunamuahidi kuwa tutafanya kazi kwa uadilifu na tutahudumia wananchi kama inavyotakiwa”Amesema mmoj wa vinara hao

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.