• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

uwekezaji shamba la karangamiti

Imetumwa: September 4th, 2018

Na patrick mishomari

Mgogoro wa shamba la karanga miti  lenye ukubwa wa hekali elfu 49 ni moja kati ya mashamba poli yaliyo orodheshwa kati ya mashamba poli ya wilaya ya ulanga mkoani morogoro.

Akijibu swali la diwani wa minepa Michael  Mahiringa   katika baraza la madiwani ,mwenyekiti wa baraza hilo mh.furaha  lilongeli aliye taka kujuwa shamba la karanga miti ni lawanakijiji wa chikuti  au la mwekezaji .

Mh.Furaha  Lilongeli  amesema shamba hilo lilikuwa na muwekezaji lakini walipokea maelekezo ya kuyatambua mashamba pori na liliandikwa kama shamba pori na waliiomba wizara ya ardhi shamba hilo lirudi mikononi mwa wananchi  wa chikuti na jitihada hizo zilizaa matunda  kwakumleta waziri wa ardhi william  lukuvu katika halmashauri  ya wilaya ya ulnga na kufanya naye mkutano katika kijiji hicho.

Pia lilongeli ameongeza  kuwa mkutano huo walikubaliana kuwa hekali hizo elfu 49, hekali elfu 40 zibaki kwa mwekezaji na hekali elfu 9 zirudi kwa wananchi lakini mpaka sasa bado  hekali hizo hazijakabidhiwa   kwa wananchi wa kijiji cha chikuti.

“Halmashauri  ninayo  iyongoza pamoja na madiwani kwa baraza lililo pita walimuagiza mkurugenzi na mtalaamu wa  afisa ardhi  kwenda wizara ya ardhi kuulizia mchakato wa kugawa hizo hekhali elfu tisa lini utafanyika lakini majibu yamerudi tofauti  na makubaliano kwenye kikao na waziri katika kikao chikuti najibu lilikuwakwamba zikitolewa hizo hekali kwa mikataba ya kukodishwa kwa wananchi “amesema lilongeli.

Kwa upande wa mbunge wa wilaya ya ulanga mh.Goodluck Mlinga  ameongeza kuwa shamba hilo ni pori na  ilihizinishwa na nyanganywa mwekezaji huyo  lakini aliomba arudishiwe na akapewa afanye kazi ndani ya miezi 18 ila bado haja fanya kazi yoyote mpaka sasa.

Mh.Mlinga amemtaka diwani wa minepa Michael Mahilinga kuambatana na timu ya watu 20 kwenda kuweka kambi bungeni dodo kwaajili ya kuonana na waziri ili kupata ufumbuzi wa mgogoro unao endelea katika kijiji hicho.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.