• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Utunzaji wa Misitu Wilayani Ulanga

Imetumwa: April 25th, 2018

ULANGA

Na Fatuma Mtemangani

Afisa misitu wilayani ulanga mkoani morogoro bwana  Alfan  Misayo amewapongwzawananchi wa wilaya ya ulanga kwa hatua nzuri ya utunzaji wa mazingira hivyo amewataka kupanda   miti  kwa wingi na kukata vibali vya uvunaji  wa  miti  ili kutunza mazingira kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Bwana Misayo alisema kuwa kwa sasa uoteshaji na ukuzaji wa miti ni biashara kwa taifa letu hivyo wananchi wanapaswa kutumia fursa hii ili kujiongezea kipato ndani ya familia na jamii kwa ujumla.

Katika hatua nyingine bwana Misayo amesema kuwa amempongeza mtoto Grigori Bilauri mkazi wa kijiji cha uponera wilayani ulanga kwa kumiliki vitalu viwili vya miche vyenye jumla ya miche 1,700 ambavyo amevitengeneza kwa nguvu zake mwenyewe kwa lengo kujipatia kipato na kutunza mazingira kwa wilaya ya ulanga.

Hata hivyo kama idara wameahidi kumpatia elimu zaidi motto Grigori juu ya utunzaji na uendelezaji wa miche hiyo ili iweze kumkwamua kiuchumi.

Mtoto Grigori Bilauri aliyehitimu elimu darasa la saba mwaka 2016 ambaye hakuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari ameamua kujishughulisha na kazi hiyo kwa lengo la kujiongezea kipato huku akikiri kukosa  elimu ya kutosha ya uendeshaji wa  miche hiyo.

Bwana Misayo amewata wananchi wote  wanaojihusisha na uvunaji wa miti kutuma maombi ya upatikanaji wa vibali ili kuondoa usumbufu utakaojitokeza hali itakayowafanya kufanya kazi ya uvunaji wa misitu kisheria ambapo zoezi hilo litafikia kikomo mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka 2018.

Hivyo ameelezea changamoto wanazokutana nazo juu ya utoaji elimu kwa jamii ni pamoja na ukosefu wa watumishi katika idara ya misitu,miundo mbinu ya kifedha hali inayopelekea kutoifikia jamii kwa wakati hivyo.

“Kuanzia sasa tutafuata sheria za mazingira kama zinavyoelekeza kwa yeyote atakaekiuka kukata miti hovyo,kuchoma mkaa,kuharibu vyanzo vya maji pamoja kupasua mbao ndani ya misitu atatozwa faini ya shilingi …..hivyo kila mwananchi anapaswa kulinda misitu iliyo karibu yake na kuzingatia ushauri wanaopewa na wataalam wa misitu ili kusaidia kizazi cha sasa na cha baadae”.alisema bwana misayo.

Sambamba na hilo ameitaka jamii kutobweteka kwa kufanya vizuri utunzaji wa misitu kwa mwaka hivyo jamii inatakiwa kuishi kwa kufuata sheria na kanuni bora juu wa utunzaji wa misitu.

mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.