• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Uhamasishaji CHF Iliyoboreshwa

Imetumwa: July 13th, 2017

Wananchi wa wilaya ya Ulanga wametakiwa kujiunga na mfuko wa afya ya jamii iliyoboreshwa (CHF) ili waweze kupata huduma kwenye vituo vyote vya serikali katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Shinyanga

Akizungumza katika kikao hicho Meneja (CHF) wilayani humo Bi Sigilinda Mdemu alisema kuwa kwasasa huduma zake zimeboreshwa ukilinganisha na miaka iliyopita ambayo mwanachama alikuwa anapata huduma katika eneo alilojiandikisha tu pekee ambapo kwa sasa mwanachama anaweza kupata huduma hiyo katika mikoa mitatu tofauti.

Aidha  ameeleza kuwa  kwasasa mwanachama ambaye anataka kujiunga anapaswa kuchangia kiasi cha shilingi elfu kumi itakayomwezesha  mwanachama na watu  wasiozidi sita kupata huduma zote za afya ikiwemo kumwona daktari, vipimo na dawa ikiwa na lengo la  kusogeza huduma bora za afya kwa wanachi wote.

Hata hivyo Bi mdemu aliongeza kuwa mfuko wa afya ya jamii (CHF) ipo nje ya fedha ya kapu la pamoja la serikali na kuongeza kuwa uwingi wa wanachama unasaidia kuboresha huduma za afya na upatikanaji wa madawa kwani serikali hutoa fedha zingine sawa na kiwango kilichokusanywa na kufanya vituo vya afya na zahanati kuagiza madawa zaidi.

Hata hivyo ametoa wito kwa serikali za vijiji kuendelea  kuwaelimisha wananchi wao na kuwahamasisha juu ya umuhimu wa kujiunga na bima ya afya iliyoboreshwa kwa  lengo la kupunguza gharama za matibabu kwa wananchi.

Zaidi ya wadau 50 wakiwemo viongozi mbalimbali wa serikali  wilayani Ulanga walikutana na kujadili mikakati mbalimbali ya kuongeza idadi ya wanachama watakaojiunga na mfuko wa bima ya afya ya jamii iliyoboreshwa (CHF) ambapo walitoa mbinu mbalimbali za kuboresha mfuko huo na kuandaa mpango mkakati wa uhamasishaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.