• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Mwenyekiti wa halmashauri awataka viongozi wa halmashauri hiyo kubuni vyanzo vipya ili kuongeza mapato ya halmashauri

Imetumwa: May 21st, 2020

Na. Yuster Sengo

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga Mh. Nassoro Kihiyo amesema kuwa mapato ya halmashauri ya wilaya ya Ulanga yameshuka kutoka asilimia mia moja sitini (160%) kwa robo ya kwanza hadi kufikia asilimia sitini na nne (64%)kwa robo ya tatu

Akisoma hotuba katika kikao cha kawaida cha baraza la madiwani, Mh.Kihiyo amesema kuwa katika robo ya kwanza mapato yalikuwa ni shilingi 894,761,000 sawa na asilimia 161% ya makusanyo yote na robo ya pili halmashauri ilikusanya SHILINGI 456,896,631 sawa na asilimia 86% na kwa robo ya tatu halmashauri imekusanya jumla ya shilingi  339,964,925.76 sawa na asilimia 64.2 ya maksanyo yote

“Kwa kuangalia tu mwenendo wa mapato wa mapato tangu robo ya kwanza hadi robo ya tatu ni dhahiri kuwa mapato ya halmashauri yameshuka “Amesema Mh. Kihiyo

Hata hivyo ameopngeza kuwa mapato hayo yanashuka kwasababu mbali mbali ikiwemo halmashauri hiyo kukumbwa na mafuriko yaliyosababisha madhara katika makazi ya watu ambapo nyumba 32 zimezingirwa na maji ,miundombinu ya barabara imeharibika na hekali 3404 za mazao ya mahindi ,mpunga na ufuta zimeathiriwa

Aidha ameongeza kuwab sababu nyingine ya kushuka kw mapato ni pamoja na kuchelewa kwa msimu wa mazao hususani ufuta na kuwepo kwa ugonjwa hatari wa homa ya mapafu uliosambaa duniani kote ikiwemo Tanzania unaosababishwa na virusi vya corona

“pamoja na ugonjwa huo kuenea duniani kote na kufikia hapa Tanzania lakini hadi sasa halmashauri yetu haijaripoti kisa chochote cha ugonjwa huo,aidha tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu mlezi wa viumbe vyote aweze kutunusuru na ugonjwa huu” Ameongeza Kihiyo

Hata hivyo amewaomba madiwani kuendelea kutoa elimu ju ya ugonjwa huu kwa wananchi nwa kata zao ili wasiendelee kuathirika kisaikolojia na kiuchumi

“Tuendelee kumuunga mkono raisi wetu kwa kuondoa hofu wananchi na kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujenga uchumiwetu wan chi na halmashauri yetu na kuongeza mapato”Mh. Kihiyo mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga

Mh.kihiyo ameendelea kuwashauri wananchi wa wilaya ya Ulanga kupanda mazao ya mizizi hususani mihogo pamoja na kulima mahindi katika maeneo yote yenye miinuko na mpunga maeneo ya mlimani  ili wapate mazao ya kutosha ya chakula na biashara

Hata hivyo ameongeza kuwa halmashauri hiyo inatakiwa kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato na kuwa wabunifu katika kubuni vyanzo vipya na vyenye uhalisia na tija vitakavyoleta maendeleo na ustawi wa watu wa Ulanga na halmashauri kwa ujumla

“Ili halmashauri yetu iweze kujiimarisha kiuchumi,tunawashauri wananchi kulima mazao ya biashara kama vile korosho,pamba,ufuta karangamiti na kokoa ili kuongeza kipato cha mwananchi mmoja mmoja na hatimae kupandisha mapato ya halmashauri”Amemalizia Mh.Kihiyo

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.