• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

MNADA WA MBUYUNI KUSAIDIWA

Imetumwa: October 3rd, 2017

Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya UlangaYusuf Daud Semguruka amefanya ziara ya kustukiza katika mnada wa kijiji cha mbuyuni ili kujionea makusanyo ya ushuru yanavyofanyika.

Akiwa katika mnada huo mkurugenzi amejionea jinsi makusanyo ya ushuru yanavyofanyika kwa kutumia mashine na kuona changamoto mbalimbali katika mnada huo.

Moja ya changamoto aliyoikuta ni ya kukosekana kwa banio hivyo ameahidi kulitengeneza la muda ili liweze kusaidia kwa kipindi  hiki.

Aidha kwa upande wao wafanyabiashara wanaofanyabiashara  zao katika mnada huo wamesema kuwa mnada huo unawasaidia kwani kwasasa hawaendi tena mbali kama vile mnada wa Itete na Malinyi.

Hatahivyo wamesema kuwa wanaiomba serikakali iwatatulie changamoto walizonazo katika mnada huo ikiwemo ya ukosefu wa maji na uzio katika mnada huo.

Licha ya changamoto walizonazo wafanyabiashara hao wamempongeza mkurugenzi wa halmashauri ya Ulanga kwa kufika  kutambua changamoto zao kwani wamesema kuwa wakitembelewa na kiongozi kama huyo basi wanaamini hata changamoto zao zitafahamika na kutatuliwa kwa wakati.

Mnada huo unawasaidia wananchi kuanzia maeneo ya wilaya ya Kilombero mpaka Ulanga pamoja na maeneo yote kuanzia Lupilo na vitongoji vyake kwa kupata huduma mbalimbali za uuzwaji wa ng’ombe na bidhaa nyinginezo.

Mbali na hilo mnada huo pia unasaidia kuongeza mapato kwa halmashauri ya wilaya Ulanga pamoja na kijiji cha Mbuyuni kwa kupokea ushuru kutoka kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara mnadani hapo. 

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.