• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

MKUU WA WILAYA YA ULANGA AZINDUA CHANJO YA POLIO

Imetumwa: May 18th, 2022

Na.Yuster Sengo

Mkuu wa wilaya ya Ulanga Mh. Ngollo Malenya leo mei 18,2022 amezindua kampeni ya zoezi la utoaji chanjo ya polio kwa watoto chini ya miaka mitano

Uzinduzi huo umefanyika katika hospitali ya wilaya ya Ulanga ambapo zoezi hilo la utoaji chanjo utafanyika nyumba kwa nyumba kwa wataalamu wa Afya kupita katika nyumba hizo kutoa chanjo kwa watoto chini ya miaka mitano

“kwahiyo natoa wito kwa walezi na wazazi wote kuhakikisha kama kuna mtoto wa miaka mitano anapata chanjo hiyo kwa ajili ya kulinda afya zao”Amesema Mh Mkuu wa wilaya Ngollo Malenya                                                                                                                     

Aidha ameongeza kuwa Serikali kupitia wizara ya afya imeagiza watoto wote chini ya umri wa miaka mitano  kupatiwa chanjo ya polio kuwafanya watoto kuwa na Afya bora

“Serikali kupitia wizara ya Afya imeagiza zoezi hili la chanjo ya polio kwa watoto wote chini ya miaka mitano  ili kuongeza kinga za mwili kwa watoto na kuhakikisha tunaondoa maambukizi hayo ya kirusi hicho cha polio kwa watoto wote nchini”Ameongeza Mh.Ngollo

Mkuu wa wilaya ameongeza kuwa chanjo hiyo imezinduliwa na itafanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 18 /05/2022 hadi tarehe 23/05/2022 ikiwa na  lengo la kuimarisha afya za watoto wenye  umri chini ya miaka mitano.

Aidha ameeleza kuwa mtoto yeyote hazuiliwi kurudia kupata chanjo hiyo kwa wakati mwingine kwani sababu ya kurudi kuchanja ni kupunguza ukali wa virusi  vya polio  na kuongeza kuwa zipo njia nyingi za maambukizi hayo kwa kupitia  njia ya kula na hata njia ya kupumuiliana.

Sambamba na hayo Mh Ngollo amesema kuwa watoto wanapaswa kuzingatiwa katika zoezi zima la kupatiwa chanjo ya polio ili kuendelea kuwa na afya njema pamoja na kinga ndani ya miili

Naye mganga mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga Dk Ally Mjema amesema kampeni hii imeanza rasmi baada ya kuzinduliwa na mkuu wa wialya na yeye pamoja na timu yake wapo tayari kutekeleza maagizo hayo kutoka wizara ya Afya  kwa kiwango cha juu

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.