• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

halmashauri ya wilaya ya ulanga imeshika nafasi ya pili kimkoa katika matokeo ya kidato cha nne 2018

Imetumwa: January 25th, 2019

NA  YUSTER SENGO

Kufuatia matokeao ya kidato cha nne 2018, wilaya ya ulanga imeshika nafasi ya pili   kimkoa na nafasi ya thelathini kitaifa  ambapo ufaulu huo umeongezeka  ukilinganisha na mwaka 2017 ambapo ufaulu huo umeongezeka kwa asilimi 1.61

Afisa  elimu Bw.Menrad Lupenza amesema  kuwa  mwaka 2018, jumla ya wanafunzi  1236 wilayani hapa  walifanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne 2018 ikiwa wanafunzi waliofanya mtihani wa kujitegemea  ni 63 na wanafunzi wa shule za sekondari  1173

Pia wanafunzi 30 waliofanya mtihani wa maarifa yaani QT,  ambapo wanafunzi 10 wamefaulu mtihani huo wa maarifa na wafunzi 20 wamefeli mtihani huo hivyo ufaulu huu  kwa wanafunzi wote waliofanya mtihani ni sawa na asilimia 85.85

Aidha ameongeza kuwa kwa mwaka huu wa 2018, GPA imependa katika halmashauri ya wialaya ya ulanga ambapo kwa mwaka 2017 GPA ilikuwa 3.876 na kwa mwaka 2018 GPA imepanda kwa 3.73 ambapo amefafanua kuwa kwa udogo wa GPA maana yake ni kuwa ufaulu umeongezeka

Sambamba na hayo Bw Lupenza amesema kuwa kimkoa halimashauri ya wilaya ya ulanga Imeshika nafasi ya pili kwa jumla ya wila 9 na kitaifa wilaya hiyo  imeshika nafasi 30 kwa jumla ya  Halimashauri 195 hivyo nakuonekana wilaya imefanya vizuri.

Licha ya kupanda kwa ufaulu wilayani hapa, Afisa elimu Bw Lupenza ameongeza kuwa wanafunzi wapate mazoezi ya kutosha na kudhibiti nidhamu  hivyo wazazi washilikishwe katika malengo ya shule na maendeleo ya wilaya kwa ujulma kwa kutoa michango ya chakula  na kufanya maendeleo ya watoto wao lakini pia walimu wafuatilie na kuhakikisha wanawafatilia wanafunzi ili  kuhakikisha wanaondoa sifuri mashuleni

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.