• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Bashungwa awataka viongozi wa Mikoa na Mamlaka za Seikali Mitaa kuwasimamia Maafisa Habari kutangaza Miradi ya maendeleo kwa Wananchi

Imetumwa: July 3rd, 2022

Na.Yuster Sengo

Waziri wan chi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh.Innocent Bashungwa amewaagiza viongozi wa sekretalieti za mikoa na mamalaka za Serikali za mitaa kuhakikisha wanawatumia maafisa habari katika kuhabarisha wananchi kuhusu kazi na miradi inayotekelezwa na serikali

Akizungumza wakati wa kikao kazi cha maafisa uhusiano wa Taasisi, Maafia Habari wa Mikoa na mamlaka ya Serikali za mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa jijini Dodoma Mh. Bashungwa amewataka viongozi hao kuhakikisha wanawatumia maafisa habari waliopo kwenye maeneo yao kutangaza miradi  ya maendeleo inayotekelezwa nchi nzima na serikali ya awamu ya sita

 “Suala la kuhabarisha umma ni la kufa na kupona kuhusu utendaji kazi wa serikali kwa watanzania ni muhimu ,si jambo la hiari bali ni lazima kuhabarisha umma juhudi za serikali katika kuwatumikia wananchi “Amesema waziri Bashungwa

Hata hivyo amewataka wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya ,Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi katika mwaka wa fedha 2022/2023 kuhakikisha wanatoa habari kuanzia ngazi za kijiji,Mtaa,Wilaya Mikoa na Taifa kwa ujumla ili kila Mtanzania aweze kujua kazi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan

“hivyo basi nawaagiza viongozi hao kuhakikisha wanawasimamia Maafisa Habari wa mikoa na Serikali za Mitaa ili waweze kutimiza wajibu wao wa kuhabarisha umma wa wa Tanzania kwa kuzingatia utaratibu na sheria na miongozo ya utumishi wa umma “Ameongeza Mh.Bashungwa

Kwa upande wa Msemaji wa Serikali na mkurugenzi wa Habari maelezo Gerson Msigwa amewataka Maafisa Habari wote nchini kutumia Redio na Televisin za kijamii katika maeneo yao kutangazamafanikio na agenda ya Kitaifa ili kuweza kuisaidia Serikali

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.