• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

baraza la madiwani

Imetumwa: September 3rd, 2018

Na Jackson Machowa

Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya ulanga mkoani morogoro limepitisha ombi maalum la kuiomba serikali kuridhia kutowaondoa wananchi walioanzisha makazi ya kudumu na miundombinu mingine kama vile ya shule katika maeneo ya hifadhi.

Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani kilichoketi kwa siku mbili mwishoni mwa juma lililomalizika mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya ulanga na diwani wa kata ya mwaya mh. furaha lilongeli amesema wataiomba  serikali kutowaondoa wananchi walioanzisha makazi huku akisisitiza kuwa ni lazima wote waliopo katika kiini cha hifadhi waondolewe kwa maslahi mapana ya nchi.

“Hoja hapo labda kwenye hayo maeneo ya makazi lakini hakuna siasa katika hilo, mh rais amesema tumesikia kukisema tufanye siasa itakuja kuwa shida. amesema mh. lilongeri mwenyekiti wa halmashauri ulanga.

Kwa upande mbunge wa jimbo la ulanga mh. goodluck mlinga amesema mh. rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania dkt john pombe magufuli akiwa na mradi mkubwa wenye maslahi makubwa kwa taifa mtu yeyote atakaye kwamisha atachukuliwa hatua.

Ameongeza kuwa yeye alijaribu kuzuia  bajeti ya wizara ya maliasili kwa kutaka hoja ya watu waliopo katika bonde wasiondolewe lakini alizuiliwa kuendelea na hoja yake kutoka na suala lililopo linamaslahi mapana kwa taifa.

“Mimi mwenyewe binafsi bungeni nilizuia bajeti ya wizara ya mali asili kwa kutaka hoja watu ambao wapo kwenye bonde kidole nilichooneshewa…….

“Rais wetu alivyo akiwa ana mradi mkubwa kwa maslahi makubwa kwa taifa yaani ukitia “kucha”  yeyote yaani wewe unakuwa mbaya kwake.”

Awali waheshimiwa madiwani akiwemo mh. khatibu chitaunga na mh. madunda mkalimoto kutoka kata za lupiro na iragua ambao ni kata zilizopakana na bonde la mto kilombero wamesema wananchi wao hawana maeneo ya kilimo na umbali uliowekwa kutoka chanzo cha mto huo na walipo wananchi ni mkubwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ULANGA October 04, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 22, 2021
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI TARAFA YA VIGOI March 14, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 May 06, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Hakimu mfawidhi Ulanga atambulisha wiki ya sheria

    January 17, 2024
  • Bonanza la Uhuru lafana Ulanga

    December 08, 2023
  • Kuelekea Siku ya 9 December Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Ulanga wafanya usafi katika Hospital ya Wilaya

    December 06, 2023
  • Angalia Zaidi

Video

Link Kuripoti shuleni
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA FFARS
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.