• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Eneo la Utawala
    • Majukumu ya Viongozi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi na Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Radio Ulanga FM
      • Ijue Radio Ulanga FM
      • Vipindi vya Radio Ulanga FM

Jeshi la Polisi Wilayani Ulanga lafanikiwa kumshikilia bwana Wiliam Kamando

Imetumwa: December 21st, 2017

Ulanga

 

na Fatuma Mtemangani

Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha uponera ndugu Wiliamu Kamando mwenye umri wa miaka 32 tarehe 5/12/2017 amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Ulanga kwa makosa matatu tukio lililotokea tarehe 30/11/2017 saa nane kamili usiku katika kijiji cha Vigoi Juu.

Kosa la kwanza lilikuwa ni kuchomwa moto nyumba ya bwana Roki Liganga mkazi wa Vigoi Juu na kusababisha vitu mbalimbali kuungua vyenye thamani ya shilingi milioni kumi laki sita na sabini elfu.

Kosa la pili ni kumchoma moto mke wake Bi.Karista Liganga mwenye umri wa 27 ambae anakaa kwa wazazi wake na kosa la tatu ni kumchoma mtoto wake Joseph Kamando mwenye umri wa miaka miwili.

Akisomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mfawidhi wa Wilaya ya Ulanga Mh. Martha Mahumbuga mwendesha mashitaka inspecta wa polisi simon Mgonja ameiambia mahakama kua mshitakiwa huyo hastahili kupata dhamana.

Mtuhumiwa huyo  amekosa dhamana kutoka na sababu tatu sababu ya kwanza ni kua mshitakiwa huyo akiwa nje ni hatari kwa usalama wa maisha yake kutokana na jamii haija furahishwa na kitendo alichokifanya.

Sababu ya pili ambayo imesababisha mshitakiwa huyo kukosa dhamana ni kutokana na majeruhi bado wanaendelea na matibabu katika hospital ya wilaya na hali yao bado sio nzuri pia mshitakiwa endapo atakua nje kwa dhamana ni rahisi kutoroka kutokana na tukio alilotenda.

Kutokana na sababu hizo mahakama imekubali na mshitakiwa amepelekwa mgerezani mpaka tarehe 3/1/2018 kesi hiyo itakapo tajwa tena.

Matangazo

  • MALI ZINAZOKODISHWA NA HALMASHAURI YA WILAYA March 22, 2018
  • Tangazo kwa Wafanyabishara Wilayani Ulanga February 28, 2018
  • MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA ULANGA December 28, 2017
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Machinjio

    April 19, 2018
  • Bima ya Afya

    April 18, 2018
  • Mazingira

    April 18, 2018
  • Mafunzo ya Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma Tanzania

    March 21, 2018
  • Angalia Zaidi

Video

Bonanza La Walimu Ulanga
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Vipindi vya Radio Ulanga
  • Majukumu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Anwani ya Posta: P.O. BOX 22

    Telephone: +2550232626340

    Simu: 0763845957

    Barua pepe: ded@ulangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2017 Ulanga District Council . All rights reserved.